Jubilee yaunda njama kuu ya kuhakikisha kuwa NASA yagawanyika kikamilifu
- Viongozi wa Jubilee wakiongozwa na waziri wa Ugatuzi, Eugen Wamalwa na mwenzake wa Michezo, Rashid Mohammed walisema kuwa watahakikisha kuwa Magharibi mwa Kenya i katika serikali ijayo - Wakusema kuwa watawashawishi viongozi wao, Musalia Mudavadi na Moses Wetang'ula kuungana nao katika kuwa na nguvu tosha ya kisiasa