Wandani wa Uhuru Wamtolea Ruto Masharti Makali Iwapo Anataka Handisheki na Rais
Wandani wa rais Uhuru Kenyatta wametoa masharti makali kwa naibu rais William Ruto saa chache baada ya kusema kwamba yuko tayari kwa mazungumzo. Wakiongozwa na mbunge wa Igembe ya Kaskazini Maoka Maore, Jeremiah Kioni wa Ndaragwa, Ngunjiri Wambugu Nyeri mjini, Emmanuel Wangwe Navakholo, Mwatgi Munagi Limuru na Jude Njomo wa Kiambu, wanasiasa hao walisema kwamba