Binti mrembo, DJ Pierra Makena hatimaye ameamua kutii mwito wa mashabiki wake waliokuwa wakimbeza kwa unene wake uliokuwa ukiongezeka kila kuchao.
Habari Nyingine: Tabia 5 za wanawake za kushangaza kanisani
Makena, ambaye ni mama wa mtoto mmoja na aliyewashangaza wengi kwa kufichua kuwa alikuwa akielekea miaka 40 alianza kushambuliwa kwa unene wake.


Habari Nyingine: Kaka yake waziri Fred Matiang’i akataa kazi kubwa ya serikali
Baadhi ya mashabiki walishangaa jinsi Pierra alinenepa haraka, wakikumbuka hapo awali alikuwa na mwili mdogo, alipokuwa akiruka kutoka klabu kimoja hadi nyingine akiwatumbuiza wapenzi wa muziki kwa miziki kupitia kwa taaluma yake kama DJ.

Habari Nyingine: Picha za bintiye Gideon Moi ni thibitisho kwamba ni mrembo kupindukia
TUKO.co.ke imefahamu kuwa Pierra aliamua kujiunga na Gym ili kujiunda upya na kwa ajili ya afya yake. Alikiri kuwa alikuwa ameongeza unene tangu mwaka wa 2015, alipojifungua.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibIB0gJJmm6NlnZa4prrAZpiippeerm6twKexmmWdlsewsdmiZJuZkZmubsXAZqKunp%2BgsritjKeYZqWRqLWirsikoGegpKK5